Mkuu wa shule ya sekondari, Mwembeni ya Musoma Mjini, anatangaza nafasi za masomo kwa kidao cha sita katika Mchepuo wa HKL, HGK na HGL. Karibuni sana
Mkuu wa shule ya sekondari ya wasichana Kowak ya Rorya, anatangaza nafasi za masomo kwa Pre-form one, form one na kidato cha tano kuanzia sasa.
Mkuu wa shule ya sekondari - Nyegina anawatangazia nafasi za masomo 2027 kwa kidato cha kwanza na wahamiaji. Kutakuwa na Pre-form One kuanzia September 2026. KARIBU SANA.
Mkuu wa chuo cha mafunzo ya ufundi stadi kilichopo Nyamiongo, Jimbo la Musoma anatangaza nafasi za masomo kwa vijana wote wenye sifa kujiunga na mafunzo haya kuanzia sasa. Karibu sana.
Mkuu wa shule ya sekondari ya wasichana St. Alberto Girls' ya Parokia ya Rwamlimi - Musoma Mjini, anatangaza nafasi za masomo kidato cha kwanza na wahamiaji 2027. Karibu sana.
ZIARA YA MKURUGENZI WA ELIMU - JIMBO LA MUSOMA KATIKA SHULE ZA JIMBO.
ZIARA YA MKURUGENZI WA ELIMU - JIMBO LA MUSOMA KATIKA SHULE ZA JIMBO.
MAFUNZO YA MTAALA WA UMAHIRI (Competency based Curriculum)
MAFUNZO YA MTAALA WA UMAHILI (Competency Based curriculum)
KIKAO CHA BODI YA ELIMU - JIMBO
SPIRITUS EAST AFRICA 2026 - NAIROBI
SPRITUS EAST AFRICA - 2026, NAIROBI.
SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
Ofisi za Jimbo
Ofisi za Jimbo
Alhamisi - 25-06-2026
Alhamisi - 25/06/2026
Alhamisi: 25/06/2026
Alhamisi: 25/06/2026
25/26 - August 2026 - St. Dominick Pastoral Centre - Mwanza


















Receive our latest blog posts directly in your inbox!